Waweza pia pitia hii link www.v.ht/buy4meHabari za jioni wadau wa jf kuna huu mtandao wa Your Shopping friend in Africa - EasyBuyAfrica - Site naomba kujuzwa kama uko salama katitka kununua bidhaa online kupitia mitandao kama ebay n.k au kama kuna njia nyingine rahisi zaidi ya kununua bidhaa online.
Inashauriwa kufanya tafiti za ghalama kwanza kabla ya kufanya manunuzi.Bidhaa ya 12$ nimejikuta nalipa laki mpaka kuupata. Wakati ningenunua mwenyewe kutoka ebay ingenigharimu si zaidi ya tzs 35,000
Sio kila site ni ya kufanyia manunuzi.Vp kuhusu hawa kikuu? Nimeagiza mzigo inaenda week ya pili sasa
Tumia huduma yangu ya BUY4ME iko hapa hapa JF kwa kufuata hii link: www.bit.ly/101buy4meEasy buy bidhaa ambayo ukiitafuta ebay ina $25 wao ina $40 na bado makato yao , kodi na uangalizi wa mzigo unakuta bidhada inafikia $ 70 au 80