Ushindi huu ukawe somo kwa mabingwa wapya wa robo fainali 2022/23 CAF "Makolo SC".
Msimu uliopita walitumia hadi uchawi ili kufuzu nusu fainali ya kombe la shirikisho. Lakini waliishia pale uwezo wao ulipofikia, walitwaa ubingwa wa Robo fainali usiokuwa hata na medali 2021/22.
Msimu huu waliparamia yasowahusu na hatimaye tumeshuhudia kilichowapata usiku wa Ijumaa.
Mashindano wanayoyaponda Yanga kayavuka kiulaiiini kabisa, Wao walitumia hadi uchawi lakini wapi, walichoambulia ni faini tu