malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Fee or free ? emu fafanua hapoWakuu hivi ukiambiwa eating gluten fee inakua inamaana gani
Ni free mkuuFee or free ? emu fafanua hapo
Anakula vyakula visivyo na protini inayotokana na Ngano kama matunda, mboga mboga, nyama na mayaiWakuu hivi ukiambiwa eating gluten fee inakua inamaana gani
Mkuu unaweza wafahamu the best endocrinologist specialist in Dar es Salaam or Tanzania kiujumlaUsile vyakula vyenye Gluten ,hii ni protein inapatikana Kwa baadhi ya nafaka kama vile Ngano..