Sasa huyo wa ukweli ana kazi gani? au ni mapambo tu? na asiseme she has feelings for him coz utampendaje mtu alafu unamchukulia watu wa2 in addition? bora nisichangie tena hapa, nisije nikaonekana mi mjinga...Mtu mzima kwa ajili ya kutoa pesa na matunzo, mpenzi wa pili ni Sharobaro kwa ajili ya kujirusha na starehe na mpenzi wa tatu ndio wa ukweli.
Kuna akina dada wawili wapo live studio wakitetea hoja ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja. Mmoja anasema anao watatu ambao anawapanga na hawajawahi kugongana. Kuna mwanaharakati anapinga hii ishu ila inaonekana kama anazidiwa na hawa mabinti......wadau mna mtazamo gani?
Mtu mzima kwa ajili ya kutoa pesa na matunzo, mpenzi wa pili ni Sharobaro kwa ajili ya kujirusha na starehe na mpenzi wa tatu ndio wa ukweli.
Mtu mzima kwa ajili ya kutoa pesa na matunzo, mpenzi wa pili ni Sharobaro kwa ajili ya kujirusha na starehe na mpenzi wa tatu ndio wa ukweli.