kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,269
- 1,803
Ni muda mfupi uliopita television ya EATV katika sehemu yao inayojulikana kwa jina la Cheche mama mmoja na kijana mmoja wanafurahi kwa Wema Sepetu kuhama mtaa wao kwa madai alikuwa anawakera kwa tabia mbaya ikiwemo ya kupiga mziki kwa sauti ya juu na kufungisha ndoa mashoga.
NB: Mimi si mwanaume wa Dar tafadhari sana[emoji6]
NB: Mimi si mwanaume wa Dar tafadhari sana[emoji6]