Eatv kunani?

Eatv kunani?

Jana nmeona rayvanny akifanya interview kwenye kipindi cha salama eatv nkashindwa kuelewa imekuwaje WCB na EATV wapi na wapi sikuwa na muda wa kufuatilia ila nilibaki na masawali
Kutoka Salama Na, eti anawahoji marafiki zake mpaka kuanza kudaka kila anaye trend Instagram.

Zamaradi PART 2.
 
Jana nmeona rayvanny akifanya interview kwenye kipindi cha salama eatv nkashindwa kuelewa imekuwaje WCB na EATV wapi na wapi sikuwa na muda wa kufuatilia ila nilibaki na maswali
Unazani sifa kupoteza hela kizembe.
Wanajua Wasafi ni kisanga.
Note: I will stand to be team Kiba
 
Na kingine kwanini mic wanapenda kuzifunika na vitambaa shida ni nini hapo sielewi
 
Back
Top Bottom