Eatv kunani?

Kuna kituo cha redio hawapigi nyimbo za Mond ila Pepsi mkubwa wao kila muda wanaitangaza..
 
Huyu Salama kwanini habadilishi nguo nyeusi. Kama siyo uchawi ni nn
Ni just option tu. Jane njoo kwangu wardrobe nzima ni black tu. White utayaoona ni shuka na boxers tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana nmeona rayvanny akifanya interview kwenye kipindi cha salama eatv nkashindwa kuelewa imekuwaje WCB na EATV wapi na wapi sikuwa na muda wa kufuatilia ila nilibaki na maswali
Hyo interview kama swala la Paula halijaongelewa basi ni ya zamani ilikuwa stoo so ameona aitoe isje ikachacha ....
 
Jana nmeona rayvanny akifanya interview kwenye kipindi cha salama eatv nkashindwa kuelewa imekuwaje WCB na EATV wapi na wapi sikuwa na muda wa kufuatilia ila nilibaki na maswali
Kwanza kile kipindi ni Cha salama siyo Cha EATV kipindi anakimiliki yeye mwenyewe
 
Na kingine kwanini mic wanapenda kuzifunika na vitambaa shida ni nini hapo sielewi
Mic zitakuwa na majina kama rode n.k hawataki yaonekane. Pia ni brand flani hivi hawataki ziwe yeboyebo
 
Eatv wameishiwa pumzi Sasa rasmi wameanza kucheza nyimbo za diamond wameona wanapoteza wafuasi

ila ushauri tu Eatv inabidi muombe radhi na msamaha kabla ya kucheza kazi za wcb Mana lengo lenu lilikuwa ni kumshusha msanii nyenye ni watu wabaya sana ata kwenye jamii wapo watu Kama nyinyi wakiona mtu anapiga hatua wanampiga Vita ashuke akifanikiwa wanaanza kujipendekeza ndio nyinyi eatv

Mlikuwa mnasubiri anguko la diamond kwa kumbukumbu zangu meneja wa diamond baada ya kuacha kucheza kaz za wcb alishawahi kuwaambia ataki kuona mnacheza nyimbo za wasanii hich mnachokifany ni dalili mnajipendekeza na mmeshindwa
 
Na clouds pia wameanza kujipendekeza. Hizo TV ikiwemo na TVE watanzania tunapaswa tuzipinge vikali maana hazina mapenzi ya dhati kwa vijana wetu waliojiajiri kwenye muziki.
 
Na clouds pia wameanza kujipendekeza. Hizo TV ikiwemo na TVE watanzania tunapaswa tuzipinge vikali maana hazina mapenzi ya dhati kwa vijana wetu waliojiajiri kwenye muziki.
Eatv sasa naona kifo chake kinakaribia Sina hakika Kama sponsor wanaendea kutoa donge nono naona show hazina mpangilio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…