Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
umestuka mapema sana !Yale yale ya TV 1, mechi moja kwa wiki tena sio big match
Labda kwenye startimes zipoKwanza channel za bongo siku hizi si hamna?
mobidro kwani bado inaendelea kufanya kaziKama sio mobidro potezea
Not Mobidro it's MOBDROKama sio mobidro potezea
Hii kitu naipenda sana popote nilipo na simu yangu nachek mpiraKama sio mobidro potezea
Ndiomobidro kwani bado inaendelea kufanya kazi
RTS inapatikana king'amuzi ganiHakuna lolote wanachaguliwa game za kurusha ambazo zinarushwa na channel kibao kama RTI, RTS, KTN. Warushe hata ligi ya Scotland
TBC na WCYale yale ya TV 1, mechi moja kwa wiki tena sio big match