EATV mnakoelekea mnatia aibu sana!!!

Clouds na chanel 5 ni station pekee hapa nchini... zinazochochea ushoga na kukuza usenge.... kwa kigezo cha mambo ya fashion.....



Waangaliwe hawa mazee
Clouds ndio wameenda mbali kwa ukiushi wa kaida kwenye tasnia ya udaku ipo midume ndio inashadidia umbea huu ni ushoga tu kwa aina zake
 
Anajiita bill sepenga, japokuwa ndo TV station nnayoipenda ila jamaa anaboa sana hana ujuzi wowote, kuna siku alimwambia victor wanyama eti yeye ndo anaconnection na madem wakali wote Wa mjini, atamtafutia kama anahitaji, wamuondoe kama gigy money tu
 
Clouds na chanel 5 ni station pekee hapa nchini... zinazochochea ushoga na kukuza usenge.... kwa kigezo cha mambo ya fashion.....



Waangaliwe hawa mazee
Hao clouds ndio machoko kwanza hawana weledi wowote, usifananishe eatv na mambo ya ajabu
 
Hahahaha
Mtoa mada umeniwahi huyo jamaa atakua yuko field maana hata nguo anaovaa zina label ya dukan, yan pumba tupu, ni full kujilamba midomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…