EATV mnakoelekea mnatia aibu sana!!!

Anajiita bill sepenga, japokuwa ndo TV station nnayoipenda ila jamaa anaboa sana hana ujuzi wowote, kuna siku alimwambia victor wanyama eti yeye ndo anaconnection na madem wakali wote Wa mjini, atamtafutia kama anahitaji, wamuondoe kama gigy money tu
kuna kipindi alikuwa anajifanya mdogo wake wema sepetu akawa anajiita bill sepetu hadi leo kuna wanaodhania hivyo,ni mdananda wa hali ya juu,anyway ndo media zetu hizo ,watu kama hao sidhani hata kama mshahara wanalipwa so wamiliki nao wanapenda cheap labour sababu hawa wadanandaa a.k.a laylow Gay bottoms wananchotaka ni kuuza sura wapate mabasha yenye hela.
 
Sio Sam Misago,
Kuna mpuuzi flani hivi ambaye ukimwona tu ni lazima uutilie mashaka mfumo wake wa fikra kichwani!
Hichi kipindi kilokua bab kubwa enzi za

Denis Ssebo, dj akiwa bush baby.

Kuna mwingine tena after sam misago?
 
Kweli we mzaramo
 
Nilitaka nishangae Sam wangu hizo tabia kaanza lini, wakati kipindi cha ENEWZ anakipeleka pouwa tu ye na Suzi Hicho Friday nin sijui sikifatiliagi a
Sana mida yke mibovu wengine Tunalea watt watu wazima[emoji41] [emoji124]

Hii avatar yako nilijua jose mkuu.. nikawa najiuliza huyu Jose huu uzembe wa kushika nafasi ya 19 kaanza lini?!.. kumbe sio


Ukimaindi natuma tena.
 
Wabongo wengi wivu wa kike umewajaa ukiona mtoa mada hii mada yako ya kinafki
 
Reactions: Pep
Nimeona hapo kwenye hiyo screen short ya maelezo anasema yeye pia Commedian.

Sasa atamchekesha nani huyo labda nyie Wanaume Wa Dar.
 
Asee kuna kipindi kinaitwa keep fit,cha kila jumamosi asubuhi. Hichi kipindi kinakera mbaya kabisa.

Yaani wanawake ni kuisifia tuu serikali ya awamu ya tano,nani kawaambia wote tunao sikiliza ni mashabiki wa huyu kilaza?

Imefika mahala nikisikia akianza kusifia ujinga naweka deutch welle
 
Sometimes unajiiza hivi waajiri wa media za bongo wana matatizo gani!!..kwa maana huwezi kuwa na presenter wa tv anamwambia mtu mkubwa kama victor wanyama kuwa *kama anataka mademu wakali amwambie yeye ndo anaconnection hapa bongo*
 
Dah kichwa cha habar kilinistua sana "eatv mnakoelekea mnatia sana"dah,bas Sawa Kama anaboa waambiwe tu hamna jinsi.
 
Hahahha Bil Sepengaa mshikaj wang Leo zezetaa hahha
 
jana ROMA alimuambia.."we utakuwa umewekwa apa kuna watu hii.kazi wameisomea wanaangaika kuipata""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…