EATV mnakoelekea mnatia aibu sana!!!

Sio Sam Misago,
Kuna mpuuzi flani hivi ambaye ukimwona tu ni lazima uutilie mashaka mfumo wake wa fikra kichwani!
analiwaa yule mkuu hamna asiyemjuaa mtoto wa kino yaan shimo la wengi
 
Sio Sam Misago,
Kuna mpuuzi flani hivi ambaye ukimwona tu ni lazima uutilie mashaka mfumo wake wa fikra kichwani!
aiseeee yule ni mbogaa yao namjuaa vizurr saaanaaaa yaaan saaana 100%
 
Huyo jamaa ndiyo namskia... Tumpe muda wakuu

Sent from my Diamond Rose Iphone 32 GB using JamiiForums Mobile App
 
Reactions: Pep
[emoji16][emoji16]ana paka piko kama anaenda kuposa binti wa chato
 
Reactions: Pep
yule jamaa sio bure wanampakua,ngoja nisubiri nione leo kama atakuwepo,ilu niache kuangalia rasmi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Yupo mkuu...EATV hawapo serious
 
Moja ya vipindi vya tv ambavyo huwa hata sina wazo la kuviona ni pamoja na hiki FNL, baada ya kugundua ni ujinga tu uliopo humu, niliacha mazima, saizi ni kuangalia vipindi vya kiutu uzima tu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Vipi vya shilawadu au?

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Moja ya vipindi vya tv ambavyo huwa hata sina wazo la kuviona ni pamoja na hiki FNL, baada ya kugundua ni ujinga tu uliopo humu, niliacha mazima, saizi ni kuangalia vipindi vya kiutu uzima tu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Kwani Sam misago hameacha kazi EATV?????
 
Yule jamaa hata mimi ananikera kishenzi, simuelewi elewi.
 
Huyu kijana afanye ishu nyingine kuhost icho kipindi muonekano, matendo na kipindi cha FNL hakiendani nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…