screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Oct 16, 2017 #21 Kupitia FNL ndio waliwapromote watu kama Giggy Money, Amberlulu, Harmorapa na wapuuzi wengine wa namna hiyo hadi wanafahamika mjini
Kupitia FNL ndio waliwapromote watu kama Giggy Money, Amberlulu, Harmorapa na wapuuzi wengine wa namna hiyo hadi wanafahamika mjini
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 17, 2017 #22 Tumekusikia tatizo lako tutalishughulikia Asante na endelea kusikiliza East Africa Radio
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 17, 2017 #23 encyclopaedia Tanzaree said: Calisah ndo nan kwani Click to expand... model
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,305 Oct 17, 2017 #24 screpa said: Kupitia FNL ndio waliwapromote watu kama Giggy Money, Amberlulu, Harmorapa na wapuuzi wengine wa namna hiyo hadi wanafahamika mjini Click to expand... Kuna Mmoja amesema yeye hana shida hata chizi anaweza kutoka naye as long as anatake care msambwanda.
screpa said: Kupitia FNL ndio waliwapromote watu kama Giggy Money, Amberlulu, Harmorapa na wapuuzi wengine wa namna hiyo hadi wanafahamika mjini Click to expand... Kuna Mmoja amesema yeye hana shida hata chizi anaweza kutoka naye as long as anatake care msambwanda.
encyclopaedia Tanzaree JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 515 Reaction score 405 Oct 17, 2017 #25 Joseverest said: model Click to expand... Duh
kasulamkombe JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 2,232 Reaction score 2,491 Oct 17, 2017 #26 wengi kichwani hewa