Unataka kubisha nguvu ya mitandao kwa kizazi hiki?jamani ehh, sio sawa kusema eti "kwa sasa sijtegemei radio na tv"
acheni mahaba yaliyopitiliza hadi mnajivua ufahamu.
Ukweli mtupu mkuu mfano hai in HarmoRapa amekuwa maarufu mtandaoni akiwa hana hats nyimbo moja redioni
Hata wakina gigy money
Unataka kubisha nguvu ya mitandao kwa kizazi hiki?
Angalia umaarufu wa Harmo Rapa kaupatia wapi?
Wakati hana single redioni
Well said,jamaa kasema pekee akimaanisha Tv na Redio anavitegemea lakini sio Tv na Redio tu,Hata mitandao ya kijamii.Bado mnajiuliza kwanini matokeo ya Nectar ni mabovu?
"Sitegemei TV na Redio pekee"...... Hilo neno "pekee" mmelipeleka wapi hadi mnajudge kuwa Diamond kakosea?
..ahahah..!Wasipopiga nyimbo zake nani atawasikiliza?!Wampotezee tu waache kupiga nyimbo zake mashabiki wake wazifuate huko kwenye mitandao ya kijamii
Usifikiri Mzee Mengi anafanana na hao wapuuzi kama Ruge na Majay sijui.. Na usikute hata huyo Diamond mwenyewe hamjui..
Mshamba mwingine kutoka Tandale.. Google kwanza "Event Planners" alafu urudi nikupe majibu yako..Mzee Mengi anamjua sana Diamond Platnumz. That is why alimualika actually alimlipa kwenda kufanya performance kwenye birthday ya mke wake kipenz bibie Klynn mwaka 2014. Habari za WCB anazo.
DIAMOND NI NANI KAMA NI DIAMOND PLATINUMZ ANAHITAJIKA KITUONI KEKO KWA TUHUMA ZA WIZI WA PESA ZA SERIKALIMshamba mwingine kutoka Tandale.. Google kwanza "Event Planners" alafu urudi nikupe majibu yako..
Binafsi nina ndugu yangu ambaye ana Hoteli yake huko Kenya, kuna kipindi huwa ananipigia simu kuniuliza ni msanii gani kwa Bongo yupo hot ili amchukue akafanye show huko. Mengi yeye huo upuuzi Diamond haujui, ni hao event planners waliambiwa tu wamchukue msanii ambaye yuko juu kwa wakati huo aende akatumbuize..
Mshamba mwingine kutoka Tandale.. Google kwanza "Event Planners" alafu urudi nikupe majibu yako..
Binafsi nina ndugu yangu ambaye ana Hoteli yake huko Kenya, kuna kipindi huwa ananipigia simu kuniuliza ni msanii gani kwa Bongo yupo hot ili amchukue akafanye show huko. Mengi yeye huo upuuzi Diamond haujui, ni hao event planners waliambiwa tu wamchukue msanii ambaye yuko juu kwa wakati huo aende akatumbuize..
ril????Mgogoro wa diamond na vituo vya East Africa ulianza tangu 2014 walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond , wakaja kusuluhisha 2016 mwanzoni wakaanza kupiga nyimbo za Diamond
Miezi kadhaa mbele mwezi zilipokuja ishu za Tuzo za EATV mgogoro ukarudi tena pale pale sasahivi hawapigi tens nyimbo za Diamond
Tuliopo kwenye industry tunaona kila step
Ni huyu huyu,Huo mgogoro umeanza lini ??
Kuna mmoja alianzisha uzi wenye maudhui kama yako, lakini cha ajabu ndani ya dakika tano tangu yule jamaa aweke humu uzi wake, EA RADIO waka press play wimbo mmoja wa Nassibu.
Ebu uelezee umma wa Jf hilo bifu limeanza lini ?
Ma Nna zenu CLOUDS...Ma Nna zenu EATV....
Msikuze mambo Mondi hakususa tuzo bali mkataba ulikua unambana,basi mtasema hata fiesta Mondi alisusaHebu leteni iyo interview tusikilize wasitafute kiki kupitia mondi kwanza hayo maelezo kibaya kaongea nn kunaubaya ukisema hutegemei tu radio na tv bali na social media hao EATV waache ubashite afu wamemkomalia mondi kivipi au kisa alisusia tuzo uchwara zao si wanamsanii wao pendwa waendelee nae WCB hatutoi kiki mfyuuu[emoji57]