Saidi bushiri love
Member
- May 18, 2015
- 10
- 1
Tatizo sio diamond kuanzishwa wavuti ya kuuza kazi za wasanii.Hajafanya kosa kutamka hayo maneno, huwezi tegemea tv na radio pekee kwa nyakati hizi. Sasa mbona huo ni ukweli unaojulikana na mond anawaamsha wasanii ambao hawatumii social net kuuza kazi zao. Mond anaakili sana
Labda kama hayupo Afrika...Usifikiri Mzee Mengi anafanana na hao wapuuzi kama Ruge na Majay sijui.. Na usikute hata huyo Diamond mwenyewe hamjui..
Video hii hapa ya watangazaji wa EATV
MOD naomba uipandishe juu
Ndio tatizo la kuajiri watu kwa vipaji, Diamond amesema kabisa kua sasa hivi yeye jina lake ni kubwa na msanii mkubwa Afrika, alafu anasema Eti angetoa kauli iyo wakati anaanza mzikiDullar amesema diamond amekosea kutoa kauli hiyo na ametoa boko na angesema hivyo kabla hajawa Diamond wakati anatoa mbagala
Wewe in kanyaboya,Mtoa mada ni mwongo wa kupindukia, au may be ndo domo mwenyewe,
Yaani EA kutwa kucheza nyimbo za domo lkn haoa anatuaminisha kua hawachezi kabisa, na watu pasi na kutumia common sense wanacheza mziki wa mtoa mada ambaye ni popompo
Hakuna kitu kam hicho,hakuna wakumuangusha mond TV ni moja,mbna wizkid alikua na mgogoro na MTV,psquare wana mgogoro na soundcity wameyamaliza juzihawezi msaniii mwenye akili timamu akasema hivi in public. Amekosea sana na akiendelea ataangushwa vibaya sana na hao hao media
Kuna mda utumie huo ubongo wako vzr hii nchi ina vituo vingapi vya tv? Ina maana hao wengine hio video hawana.. Kwann ni hao eatv pekee jua kuna jambo wanalolitaka wao hawapigi nyimbo za mond mda tu mbona mond hajawai sema chochote na juzi hajasema kwamba hategemei tv tafuteni hiyo video muone acheni ushabiki maandazi yeye kasema kwa ukubwa wake kwasasa hawezi tegemea tv pekee unaelewa maana ya neno pekee? Bali anawekeza nguvu na kwenye mitandao ya jamii kwa maana huko ndiko watu hupata nafasi ya kusoma vitu na kuangalia kwa urahisi sasa hapo kakosea nini? Nyie harmoraper mngemjua bila social media hata ukiulizwa nyimbo yake ya kwanza huijui.hawezi msaniii mwenye akili timamu akasema hivi in public. Amekosea sana na akiendelea ataangushwa vibaya sana na hao hao media
Hivi mkuu hichi ulichoandika nambie mara yawisho Diamond kwenda FNL acha kudanganya watu unakimaanisha au ni mahaba tu??
Kipindi cha FNL kinarushwa hapo mbona diamond na wasanii wake wanaitwa hapo mara kwa mara?au hicho kipindi hakina uhusiano na EATV?
Unataka kuniambia wewe huwa unakaa na TV na Radio muda wote?
We unaejua nambie Mara ya mwisho mond kwenda FNL, ilikua lini au unakurupukaHuyu jamaa hajui kitu chochote
Nadhani hujanielewa mkuu namaanisha huyo jamaa aliesema eatv wanacheza nyimbo za diamond wakati so kweliWe unaejua nambie Mara ya mwisho mond kwenda FNL, ilikua lini au unakurupuka
SawaaaaaNadhani hujanielewa mkuu namaanisha huyo jamaa aliesema eatv wanacheza nyimbo za diamond wakati so kweli
Mara mwisho mind kwenye fnl no kipindi cha Salome
Nyimbo ya Marry you haipigwi eatv wala radio
Na millard ayoWakati flank hua nakubaliana na nape, nauye, wandishi wanatakia kua na degree, moja angalau
Sababu vilaza no wengi form4 deli kama za bashite no nyingi sana kwenye, utangazaji wa, kwanza dulla wa eatv