EATV ni bora ila hawa wanaiharibu

EATV ni bora ila hawa wanaiharibu

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Eatv ni bora kwa hapa bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji wanapunguza ule ubora.
1.dulah wa pb kubana pua
2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na kiswahl ndo kabsa.
Badilikeni ili eatv iwe bora zaidi
 
Kuna siku nilipita kwa bahati mbaya, nikakaona kajamaa kamoja kanatangaza eti kamevaa sing'leti halafu watazamaji wanakapongeza eti kamependeza. The spirit of Jezebel!!!
 
kuna siku nilipita kwa bahati mbaya, nikakaona kajamaa kamoja kanatangaza eti kamevaa sing'leti halafu watazamaji wanakapongeza eti kamependeza. The spirit of jezebel!!!

kanani hako,
 
dula unamuonea aisee.. Yuko real sana na haigi mtu.. Ila kuna vitoto flan vya 5 select ni KEEROOO...
 
Watangazaji wengi wa Tv na Radio wamemuiga sauti MUSA alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Uswazi EATV.

Sio Musa watangazaji wote vijana wanaiga utangazaji wa B12 sio Radio sio TV akiwemo huyo Musa mi wananikera kama nini,Ni wachache wenye style zao akina Reuben Ndege,Milard Ayo,Double G na wachache wengine ila vijana matoz wote Chenga wanalazimisha kumuiga B12 af wanatoka na Milio ya ajabu ka mbiu!I hate this!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Eatv ni bora kwa hapa
bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji
wanapunguza ule ubora.
1.dulah wa pb kubana pua
2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na kiswahl
ndo kabsa.
Badilikeni ili eatv iwe bora zaidi

speaking of hot mix, adrian stepp yuko wapi. yaani jana nawasha tv nakutana na mtu amezubaa hamu yote ikaniisha.
 
Eatv ni bora kwa hapa bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji wanapunguza ule ubora.
1.dulah wa pb kubana pua
2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na kiswahl ndo kabsa.
Badilikeni ili eatv iwe bora zaidi

Km huyo FATNA RAMOLE..anaboooa...kusoma kwenyewe hajuuI anachapia tu..aarr aaarr nyingiiiiii....km hujui kiswahili si utoke uende capital tv...ukatutambie na english yako huko
 
km huyo fatna ramole..anaboooa...kusoma kwenyewe hajuui anachapia tu km hujui kiswahili si utoke uende capital tv...ukatutambie na english yako huko

hakuna englsh pale pumba tu kinakera na kasura kake kama panya.
 
Kuna kile cha 5seleckt kinaitwa kifaiza yani ni kero tupu.
 
Sio Musa watangazaji wote vijana wanaiga utangazaji wa B12 sio Radio sio TV akiwemo huyo Musa mi wananikera kama nini,Ni wachache wenye style zao akina Reuben Ndege,Milard Ayo,Double G na wachache wengine ila vijana matoz wote Chenga wanalazimisha kumuiga B12 af wanatoka na Milio ya ajabu ka mbiu!I hate this!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Acha uongo uyo B12 mwenyewe na wenzake wamemkopi Salama J style aliyotumia akitangaza redio.
 
Back
Top Bottom