Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Eatv ni bora kwa hapa bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji wanapunguza ule ubora.
1.dulah wa pb kubana pua
2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na kiswahl ndo kabsa.
Badilikeni ili eatv iwe bora zaidi
kuna siku nilipita kwa bahati mbaya, nikakaona kajamaa kamoja kanatangaza eti kamevaa sing'leti halafu watazamaji wanakapongeza eti kamependeza. The spirit of jezebel!!!
Labda kale kajamaa ka 5selectkanani hako,
Labda kale kajamaa ka 5select
dula unamuonea aisee.. Yuko real sana na haigi mtu.. Ila kuna vitoto flan vya 5 select ni KEEROOO...
Watangazaji wengi wa Tv na Radio wamemuiga sauti MUSA alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Uswazi EATV.Mie sipendi anavyobana ile sauti..thats too Much
Mie sipendi anavyobana ile sauti..thats too Much
bila shaka anawapata..atarekebisha.. Ila kazi yake kai master.
Watangazaji wengi wa Tv na Radio wamemuiga sauti MUSA alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Uswazi EATV.
Watangazaji wengi wa Tv na Radio wamemuiga sauti MUSA alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Uswazi EATV.
Kusema ukweli Redio niipendayo ni EA.Siku hizi huyu Mussa yuko Clouds!!!!!!
Eatv ni bora kwa hapa
bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji
wanapunguza ule ubora.
1.dulah wa pb kubana pua
2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na kiswahl
ndo kabsa.
Badilikeni ili eatv iwe bora zaidi
Eatv ni bora kwa hapa bongo.kuanzia vipind,graphics na vingne. Ila kuna watangazaji wanapunguza ule ubora.
1.dulah wa pb kubana pua
2.fatma wa hotmix huyu ndo anaharibu lugha! English hayupo na kiswahl ndo kabsa.
Badilikeni ili eatv iwe bora zaidi
speaking of hot mix, adrian stepp yuko wapi. Yaani jana nawasha tv nakutana na mtu amezubaa hamu yote ikaniisha.
km huyo fatna ramole..anaboooa...kusoma kwenyewe hajuui anachapia tu km hujui kiswahili si utoke uende capital tv...ukatutambie na english yako huko
lets hope soo.........
Sio Musa watangazaji wote vijana wanaiga utangazaji wa B12 sio Radio sio TV akiwemo huyo Musa mi wananikera kama nini,Ni wachache wenye style zao akina Reuben Ndege,Milard Ayo,Double G na wachache wengine ila vijana matoz wote Chenga wanalazimisha kumuiga B12 af wanatoka na Milio ya ajabu ka mbiu!I hate this!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums