Kuna kile cha 5seleckt kinaitwa kifaiza yani ni kero tupu.
hakuna englsh pale pumba tu kinakera na kasura kake kama panya.
utasubiri sana ashalemaa yule
Kusema ukweli Redio niipendayo ni EA.
huku umefika mbali sasa,mwanzo tulikuelewa,kama una bifu nae alikutolea nje hapo sawa,c vizuri kumdhalilisha mwenzako anasura kama panya,weka sura yako hapa kwanza tuione ndo uendelee,dada wa watu ni mzuri labda useme icho kiswanglish tu.umenikera kumfananisha na panya.
Demu mcute kama yule useme kafanana na panya lazima tuanze kuona hapa kuna walakini...kale ni katoto,, ila kazuri ata manigga kama sie tunaweza kukaamo.
Acha uongo uyo B12 mwenyewe na wenzake wamemkopi Salama J style aliyotumia akitangaza redio.
EA radio, nawapenda Ian Diallo & Isaack Lukando hawa kwangu nibest walahi...kila asubuhi wananikosha. weekend Mike Lukando anafanya kweli.
dula unamuonea aisee.. Yuko real sana na haigi mtu.. Ila kuna vitoto flan vya 5 select ni KEEROOO...
mi yule jamaa anaepresent top five videos FNL ananikera kinoma.
Dullah mmemuonea yupo unique
Anamcopy mchomvumi yule jamaa anaepresent top five videos FNL ananikera kinoma.
Dullah mmemuonea yupo unique
Haaaa haaa kama panya!!!hakuna englsh pale pumba tu kinakera na kasura kake kama panya.
hako hako....
Chocs nimemfatisha niliemkoti ujue..........Hahahaaa,et hako hako!
mi yule jamaa anaepresent top five videos FNL ananikera kinoma.
Dullah mmemuonea yupo unique