Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV SAA 1 Acheni ushabiki wa mitaani.