Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Pamoja na uchawa wanatakiwa kutimiza jukumu lao kwa uandishi wa haki.Hao ni chawa wa mbogamboga
Hata hivyo tu wamejitahidi. Wapongezwe kwa kuthubutuKwenye taarifa ya habari ya leo saa 1 jioni ilikuwepo taarifa ya mwenyekiti wa Chadema kuhusu uchaguzi mkuu ujao, mhe. Lissu kwenye maelezo yake amesema Chadema haitasusia uchaguzi, lakini maandishi kuhusu maelezo yanasema Chadema itasusia uchaguzi! Upotoshaji huu ni kwa manufaa ya nani? EATV SAA 1 Acheni ushabiki wa mitaani.
Hao ni chawa wa mbogamboga
Hiyo siyo ile ya EATV SAA 1, ninazungumzia ya EATV SAA1.Lissu kasemaje? Hatashiriki uchaguzi kams hakuna mabadiliko