EATV Siamini kama nanyi mnahusika katika hili

EATV Siamini kama nanyi mnahusika katika hili

Lubengera

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
963
Reaction score
1,551
Nimeshimdwa kuvumilia kiplndi chenu cha huyo anaitwa doctor, kimeisha leo jumanne tarehe 04/07/2027 saa nne na dk 59 usiku.

Wengi wanao piga simu mnakuwa mmewapanga, waongee ni?

Nimeumia sana, aisee hata kama ni pesa, kwann umdanganye mtanzania mwenzako? aisee?

Hata kama mna tibu acheni kuigiza au kupanga watu wanao piga cm kwenye kipindi chenu.

Am auti
 
Mods futeni uzi huu.umekosa sifa za kuanzisha uzi.
Asante
 
Hv ww umeandika nn? Unaandika kama unamtumia message huyo mtu anaeitwa "EATV" una akili? Unaandika as if tupo sebule Moja tunaangalia hicho kipind chako!
 
Back
Top Bottom