1.Piga hodi kwanza...umeingia chumbani kwa mtu na kumkuta hajavaa..huh!Wadau nasikia EAST AFRICA TELEVISION wanakirudisha kipindi cha Ze Comedy karibuni, lakini watafanya search kwanza....mnaonaje hii wadau? EATV wataweza kutukimbiza nyumbani tena kuwahi kipindi?
NAWAKILISHA!
Uzushi huo, kwani post zote za humu zina salamu1.Piga hodi kwanza...umeingia chumbani kwa mtu na kumkuta hajavaa..huh!
2.Hiyo habari yako NI YA KISWAHILI ZAIDI, na wala haiingii kichwani kwa mtu yeyote!
3. EATV+TBC1=MOTO +PETROLI...believe me!
jana nilivyo weka hii habari wadu walisema ni ya kiswahili! sasa sijui mtasemaje? matangazo yanarushwa EATV tayari mbona?
Uzushi huo, kwani post zote za humu zina salamu
Wadau nasikia EAST AFRICA TELEVISION wanakirudisha kipindi cha Ze Comedy karibuni, lakini watafanya search kwanza....mnaonaje hii wadau? EATV wataweza kutukimbiza nyumbani tena kuwahi kipindi?
Wabishi na walioita habari yangu ya kiswahili ...EATV hawawezi..i hope mtameza maneno yenu...angalieni EATV muone promo ya Ze Comedy SHOW...RESPECT MAWAZO YA MWENZAKO

bra PJ mbona Jumapili ya leo umekuwa mkali sana? I can see your new move. Keep it up bra, turekebishe pale tunapokoseaJifunze kueleza wewe!
Ukisema wanakirudisha kipindi cha Ze Comedy bila kuweka sawa unamaanisha ..akina JOTI&MPOKI ET AL!
Sema kwamba wanatafuta watu wa kuunda kundi jipya la Ze cOMEDY!
MBONA NI KITU KIDOGO TU, UNAJIUMAUMA NINI?
Huyu ni kwamba anazidi ku'edit ileile thread yake ya mwanzo...kuku mgeni huyu, mbishi ka dagaa!..huh!Uliweka kwa jina gani, maana nikicount una post nne na hii ndiyo ya kwanza
Huyu ni kwamba anazidi ku'edit ileile thread yake ya mwanzo...kuku mgeni huyu, mbishi ka dagaa!..huh!