King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Anatamani sana kuacha siasa aingie katika kufundisha hesabu chuo kikuu.
Mkuu kwa anavyoongea hapa kwa kweli hata mimi naona bora aachane na Siasa uchwara hizi alafundishe tu, ameshapotea kisiasa he has no need to wait
Hapo nadhani alikuwa anapiga propaganda tu hawezi acha siasa huyu maana zinamfaidisha sana!
Mwenyewe kashaona kwa sasa kisiasa hana nguvu,wanaomsifia ni washabiki wa chama tawala ambapo zamani walikuwa hawamkubali.
Hapo ndipo pa kujiuliza maswali mengi.... Kwa nini washabiki wa chama tawala kumsifia....
Hapo ndipo pa kujiuliza maswali mengi.... Kwa nini washabiki wa chama tawala kumsifia....
Mzalendo mwenzetu
Jana nilizima Tv nilijua ni shetani anaongea...
Zitto ile sura yake inatisha sana..
ebu weka picha yako tuone please......Jana nilizima Tv nilijua ni shetani anaongea...
Zitto ile sura yake inatisha sana..
Zito "the tragedy of miscalculations" kakosea mahali zito umaarufu wake umeyeyuka! Zamani huwezi fungua thread ya zito ikaishia coments mbili tatu kama hizi. Aache siasa