Ebaneeee!... Niliagiza secondhand laptop Ebay, hiki ndicho nilicholetewa posta!!




Huyu ndiye baba wa Epa Jr. kama nilivyompiga kwa kutumia kamera ya kimobiteli changu kwenye sanctuary ya wanyama walionusurika.


mkuu SteveD,
sasa kama uliletewa 'laptop' badala yake akaletwa 'EPA' peke yake, sasa huyu baba yake ulimpata wapi?? au 'laptop' ilikuja na 'ujauzito'??
 
Shame for Jf,hakuna la maana uliloona linafaa kwa jamii(Elimisha zaidi..)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…