Ebitoke ajibu tuhuma za kutoka kimapenzi na mume wa mama Ashura

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299


Mchekeshaji kutoka kundi la Timamu, Ebitoke amejibu tuhuma kuwa amekuwa akitoka kimapenzi na mume wa Mamaa Ashura.

Muigizaji huyo amesema kuwa tuhuma hizo hazina ukweli wowote ni stori tu za kupikwa, “Kwa wale wanaosema mimi nimempindua si kweli wakati yupo tumemficha sehemu, tutamleta,” Ebitoke ameiambia Bongo5.

“Mama Ashura yupo na anaendelea na mambo mengine, atarudi kama mwanzo na wataendelea kumuona ila sasa hivi hayupo kidogo, kuna mambo ambayo anayafanya,” ameongeza.

Hapo awali kulikuwa na taarifa kuwa baada ya Ebitoke kuanza kutoka kimapenzi na mume wa Mamaa Ashura ndipo kumepelekea muigizaji huyo kutoonekana tena katika kundi hilo.

Chanzo: Muungwana
 
Wachekeshaji wa msimu wanatafuta upenyo wawe kwenye media kupitia kiki.
 
BASATA wanaichuliaje hii issue? Au wanasubiri naibu waziri atoe tamko?
 
Hatutaki mpaka dada mange akanushe Kwani yeye sindo alituambia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…