Ebitoke amzawadia mpenzi wake Simco gari siku ya kuzaliwa “Kuna vitu vimechelewesha kuitoa yadi”

Ebitoke amzawadia mpenzi wake Simco gari siku ya kuzaliwa “Kuna vitu vimechelewesha kuitoa yadi”

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,797
Mpenzi wa mchekeshaji Ebitoke ambaye pia ni msanii Simco amefunguka sababu za kukosekana mpenzi wake Ebitoke kwenye party yake ambaye aliifanya huku akizindua wimbo wake mpya na kueleza kuwa Ebitoke ameifuata zawadi nzuri sana ingawa kuna vitu vimeingiliana kuitoa Yadi.

1582282387295.png


Ikumbukwe Ebitoke aliingia rasmi kwenye mahusiano na Simco baada ya kuachana na Mlela.

 
Sina muda na huyo ebitoke.
Ila huyo jamaa simco ana bonge la ngoma inaitwa come over..
 
Uongo kwa sababu ebitoke anatembelea kiaisti atatolea wapi hilo gari show off tu kama hamisa
 
huyo ebitoke si naishi nyumba ya kupanga hela ya kununua gari atatoa wapi?
 
Tuseme wanaume wa Dar izo nywele za Simco hamshamgai mnaona kawaida tu?
 
Back
Top Bottom