Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Kiki za kijinga zitampoteza kama Harmorapa alivyopoteaMwenzenu anatafuta kiki hapo mana ile ya kumtaka mpakwa mafuta haijavuma[emoji23][emoji23]
Kijana umejiunga JF ili kuja kututukana baba zako?Udaku wa Uswahilini usiulete JF....this is a platform for intellectuals!
haaaaaaa haaaaaaaa eti kanakera umenifurahishaKanakera sana
Yan saiv namuona mpuuzi tuKiki za kijinga zitampoteza kama Harmorapa alivyopotea
Achana nae huyo...aende jamii intelligence kule asituletee upupu hapa[emoji57] [emoji57]Kijana umejiunga JF ili kuja kututukana baba zako?
Unajua matumizi ya hili jukwaa?
Zaidi ya upuuziYan saiv namuona mpuuzi tu
UongoooBikra inauzwa sura yenyewe sasa hata akinivulia sisimamishi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi simuelewagi kabisa na hivi kakosa ubunifu kila siku na marangi yake kama upinde wa mvua.
Umefata nn humu?Hamna vya kupost!??
Muulize MboweNdio nani huyu?
Unatuchafua wanaume....mpaka sura ndio udinde utakuwa wewe mchelemcheleBikra inauzwa sura yenyewe sasa hata akinivulia sisimamishi