kiswahili kikitumika hadi chuo kikuu haimaniishi kingereza kipigwe marufuku.....
uholanzi wanatumia kiholanzi kufundishia but waholanzi karibu wote wanajua kingereza...
kiswahili kitumike hadi chuo kikuu kwa lugha ya kufundishia.while
kingereza kipewe mkazo ili watu tujue kingereza vizuri
mkuu si ndo nchi nyingi wataanza kutugomea na hayo ma test yao ya kiingereza.kama kwa sasa tunatumia kiingereza sekondari, vyuoni na kwa baadhi ya primary n ahata sheria na document nyingi za serikali ni kiingereza lakini hawa wa newzealand wanaona bado haifai. Hapo mbeleni itakuaje
Wakuu hii imekaaje
scholarship za Newzealand wanasema kwa mtanzania lazima matokea ya IELTS
Kwa Kenya, Zambia, zimbabwe na Africa kusini hayahitakiji
Na hiyo IELTS kwa hapa kwetu inafanyika wapi?
Siasa nayo imepamba moto kiswahili kitumike hadi chuo kikuu ndo kusema hizi scholarship tutaanza kutengwa?
http://www.nzaid.govt.nz/library/docs/scholarships-africa-cp-2010-2.pdf
Mkuu wanasema ni pamoja na masters.nimeona malipo yao yanalipa sana nilitaka nijaribu ila hiyo test nayo.sijui inafanyika wapi
Nenda british councilMkuu wanasema ni pamoja na masters.nimeona malipo yao yanalipa sana nilitaka nijaribu ila hiyo test nayo.sijui inafanyika wapi
Kama kweli unajua Kiingereza kwanini uogope kwenda kufanya huo mtihani wa English? Hizo ni formalities tu ambazo kwa mwenye sifa zote hutakiwi kuziogopa.
Nenda hata UDSM idara ya lugha za kigeni wanafanyisha hiyo mitihani,,,,swala la lugha jamani ni kama fimbo,,,,,ukweli ni kwmaba Tanzania tunatatizo la lugha ila tulio wengi tunakataa kukubali,,,,,,,,,,,kuna tofauti kubwa saaaaaana kati ya graduate wa TZ, na UG au KE katika kujieleza kwa ufasaha kwa kingereza,,,,, na watanzania wengi tunakosa opportunities nyingi kwa kuwa lugha haipandi,,, kwakuwa nchi yetu ni maksini hatuwezi kupigia debe kiswahili,,,watoto wasome,,,kingereza kichina,, kijapan,kijerumani etc hii itatusaidia saana
Nenda hata UDSM idara ya lugha za kigeni wanafanyisha hiyo mitihani,,,,swala la lugha jamani ni kama fimbo,,,,,ukweli ni kwmaba Tanzania tunatatizo la lugha ila tulio wengi tunakataa kukubali,,,,,,,,,,,kuna tofauti kubwa saaaaaana kati ya graduate wa TZ, na UG au KE katika kujieleza kwa ufasaha kwa kingereza,,,,, na watanzania wengi tunakosa opportunities nyingi kwa kuwa lugha haipandi,,, kwakuwa nchi yetu ni maksini hatuwezi kupigia debe kiswahili,,,watoto wasome,,,kingereza kichina,, kijapan,kijerumani etc hii itatusaidia saana
Jamani hiyo haina ubishi na mbaya zaidi watanzania tunakosa confidence. mfano ukienda kwenye interview ukakutana na watu wenye qualification sawa na wewe toka kenya na uganda watakuacha kwa sababu ya fluency na confidence. Sasa badala ya kubishania hili ni vizuri tukajadili namna ya kujenga confidence kwa watu wetu.
UJamaa mkuu! mbona nchi nyingi duniani ni za kijamaa wana teknolgia na wametoa wasomi tu.Lakini pia ujamaa ulitufanya tuwe watu wa kutofikiri,angalia mtu kamaliza Chuo Kikuu hata kuandika report ya kazi hajui aanzie wapi,ukimwambia aka fanye presentation ndio kabisa,hata kutengeneza slide mtu hajui,tunategemea nini?Ni na mfano uliohai kuna jamaa kamaliza Chuo Kikuu na alikuwa manager kwenye tawi la benki zetu za kiswahili,jamaa akamtilia pande ili ajiunge bank hizi za watu wa nje na kweli jamaa akapata na kutokana na Cv na vyeti vyake akapewa kazi,akafanyiwa hadi training,loh baada ya muda akatembelewa na boss wake toka makao makuu swali la kwanza kuuliza ni business plan ,jamaa akawa hana kitu ,akaulizwa wateja wakubwa kama kumi wa hiyo bank kwenye huo mji na kama amewahi kukutana nao jamaa aksema sio kazi yake kukutana nao na wakati hao jamaa ndio mhimili wa tawi lake na alitakiwa kuwaweka mbele ili tawi lake lizidi kwenda mbele,na jamaa anazungumza vizuri lugha ya mama,tatizo wengi wa wa TZ kwanza hatujiamini na pia hatufanyi kazi kwa malengo na tumekosa mbinu na ni wavivu hasa,hatujakuwa pro active huo ndio ukweli wenyewe tunapenda sana njia mkato na kufanya kazi kwa mazoe,ukiwa mkubwa na ukitaka kazi ifanyike kwa kufuata matakwa ya mwajiri wako waliochini yako watakuona unakimbelembele huwapendi,mnoko na mambo kede kede ,timelines wa TZ hatujui ni nini utakuta umempa mtu kazi afanye na utaitaka baada siku mbili mwisho wa siku utakuta hakuna kazi iliyofanyika ni visingizio kwa kwenda mbele,akilini jamaa anawaza kwenda vikao vya harusi au kijiweni kunywa lakini kazi ah bwana subiri kesho.
Hivi ni wahitimu wangapi kutoka vyuoni mwetu hapa TZ ambao ni ICT haiwapigi chenga?kweli bila ICT kuijua wapi utafanya kazi ulimwengu wa leo ,huenda labda Bank ya Posta.Na sasa Wakenya na Waganda ndio hao wanapiga hodi mlangoni,na tujirudi ,tutafakari ukitaka ajira lazima uwe mweledi tena mweledi wa vitendo na nadharia na sio blah blah tu