Ebola imefika duuh

Ebola imefika duuh

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Aisee hizi habari mbaya sana hasa kwa mji uliobanana kama Dar es salaam. Nilidhani ni propaganda ila sasa mambo sio kabisa! Na hizi daladala zetu full kubanana mwendokasi ndo balaaa aisee itakuwa hatari sanaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Mwenyezi Mungu tunusuru.
IMG_20190913_203819_573.jpeg
 
Hadi sasa serikali yetu tukufu inayoongozwa na dokta John haijasema chochote kuhusu aina hiyo ya ugonjwa ambayo haijulikana ni aina ipi hasa.
 
Hadi sasa serikali yetu tukufu inayoongozwa na dokta John haijasema chochote kuhusu aina hiyo ya ugonjwa ambayo haijulikana ni aina ipi hasa.
Ni hatari sanaa...Wanaogopa kucreate fear lakini Matokeo yake ni hatari sana yani[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Waseme tu kwa kweli.
 
Back
Top Bottom