Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kuzuka kwa Ugonjwa wa Virusi vya Ebola (EVD) nchini humo baada ya kijana mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Kijiji cha Ngabano wilayani Mubende kufariki dunia huku vipimo vikionyesha alikuwa na dalili za Ugonjwa huo.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV