Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofisi yako ni pale unapopata rizikiWengine hatuna ofisi, kazi kazi kama mandonga mtu kazi.
Madalali kama nawaona View attachment 2371878
dalali ofisin kwake ni wapi mzee baba ?Ofisi yako ni pale unapopata riziki
Dogo afande hujambo?mimi mwenyewe huyo nikiwa ofisini kwangu...na ninajivunia sana ofisi yangu wajameni
View attachment 2371872
Mshana hapo ni jalalani au?
Weka yakoo!Mshana hapo ni jalalani au?
Acha kudharau ofisi za watuu[emoji35][emoji34]Mshana hapo ni jalalani au?
Madalali janja janja hawanaga ofisi ili wafanye utapeli wao kiufanisi lakini madalali professional Wana ofisi mkuudalali ofisin kwake ni wapi mzee baba ?
Nimegundua pia uzi huu unaweza kuwa fursa kutangaza biashara yako hongera mkuu bila Shaka wateja wataongezeka maradufu