britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mimi nimeguswa sana na ushindi wa Magufuli sana sana,
Kwanza ili serikal yake isikwame naomba tu azingatie haya,
1.ateue waziri mkuu hasiyekuwa na Makuu hasiyejulikana kabisa, ambaye hawataendeshana, watu wanawasema kina mwakyembe, lakin sioni kama mwakyembe anaweza kuwa waziri mkuu mzuri, nasikia waziri mkuu ni jamaa mmoja kutoka kusini ana taaluma ya ualimu,
2.Kuhusu kuibiwa tumeibiwa sana, cha kufanya afanye maziara mengi sehem mbali mbali
Waziri mkuu lazima awe mkatoliki.
Hutaki unaacha
Hahaha dahWekeni yeyote nyie mliolaaniwa !
Upo ulediWaziri mkuu lazima awe mkatoliki.
Hutaki unaacha
Vipi mkuuMnajimu...
Hahaha mbona ulipanikWekeni yeyote nyie mliolaaniwa !