Ebu,mshaurini huyu rafiki yangu wakuu.

Huyo demu boom imeshakata anatafuta njia ya kurudia tuu,kama vp jamaa ampotezee kinomanoma!!

tena na hv vyuo karibu vnafungwa,nadhani anatafuta wa kumchuna nauli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…