Ebu nitajie chombo cha habari bora Tanzania kuliko The Chanzo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Achana hayo mastudio wanayo yapaka paka rangi kuwanogeshea

Achana na hao watangazaji wanaogambaniwa kila baada ya miezi 6 unamkuta ameenda pengine

The chanzo ndio iliobaki kuuliza maswali magumu, taarifa zilizo hardcore, taarifa zilizo deep, blockbuster interviews, etc
 
Vivyo hivyo tuachane na hiyo The chanzo pia kama ulivyoamua kuachana na mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…