Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Soma vzr halafu useme UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
(Siyo really story)
Una rafiki Yako Ambae tangu uoe hajawahi kumuona mke wako na mnaishi vijiji tofauti tofauti (vya mbali
Habari za smart phone ni ndoto ya mchna kuwa nayo.
Basi rafiki Yako anaamua kuja kukutembelea.
Akiwa katika Kijiji chenu porini anakutana na mke wako anaenda kusaga mahindi apate unga Kwa baiskeli.
Kwa vile hamjui ana mpiga vocal Hadi ana eleweka na kukubali
Basi kama mjuavyo wazee wa kupambania ni popote kambi
Unamvuta kichakani una mzagamua then unamtoa buku2 tu.
Safari Yako unaenda Kwa kuchangamka na ukiwa mwepesi sana.😂😂
Kwa vile mazingira unayajua Haina haja ya kuuliza(unafika Kwa rafiki Yako kipenzi)
Basi mgeni wako amefika mnasalimiana Kwa bashasha sana na kupeana story za hapa na pale.
Mgeni wako anakudokeza jamaa yangu huku Kuna wanawake wa rahisi sana asee😂😂😂
Unauliza Kwa hamu kubwa!!
Kwanini jamaangu?
Rafiki Yako anakujibu nimekuta na mwanamke mzuri asee si nikaamua nimjaribu kumtongoza halooh kama utani akakubali.
Nami sikupoteza muda nikatumia hiyo nafasi.
Daah unaamua kumsifu mshikaji na kumwambia asee wanawake siku hizi ndo walivo yaani swaga Moja ya pili Tyr unapewa utamu😆😆
Mkiwa Bado mnapiga story na rafiki Yako mara wife huyoo anatokea na baiskeli yake.
Jamaa anakupigapiga kwenye goti oyaaah demu ndo yule Sasa niliye mzagamua 😂😂😂😂
Mara mke wako anapiga Kona kuelekea home (kwako)🤣🤣🤣🤣
Je utafanyaje? Utamtimua jamaa Yako ama jamaa ataondoka mwenyew?
Au wife wako ndo utamtimua?
Ebu sema kitu hapa tujifunze mdau.
...................................................................................
Umeamua kwenda ukweni kwako kijijn huko ndanindani kabisa mwamakiliga.
Upo wewe na mke wako mmeenda na gari yenu.
Mnafika mida ya saa2 usiku.
Baada ya salamau za hapa na pale wife anaingia jikoni kama kawaida ya wanawake kusaidia.
Huku unabanwa na tumbo la kuharisha unaona usiwe tabu utoke toke kidogo ukajisaidie kwenye nyasi!!
Unafika na kuvua na kuanza kujisaidia.
Kumbe sehem ulipo ni bustani ya mama mkwe wako karima maboga bana😂😂😂
Kwa vile hujui unafanya Yako unachambia majani unavaa na kuondoka.
Kumbe kipindi una chuchumaa wallet Yako ilidondoka bana!!
Kwenye wallet Yako Kuna kitamburisho Cha mpiga kura,Nida, account ya bank, passport na funguo za nyumbani kwako mjini!!
Bila kujua Wala kujari huwazi kitu maana upo kijijn. Mnakula mnalala vizuri tu.
Asubuhi na mapema mamkwe wako anaenda kuchuma majani ya maboga.
Ukiwa huna hili Wala lile unasikia mama mkwe analalamika!!
Nani Tena mshenzi huyu kaja kuharisha kwenye maboga yangu
Ona kadondosha na wallet yake😂😂😂
Hapo Sasa ndo unasanuka wallet Iko yangu iko wapi¿? Unajishika hamna kitu!!
Je utaifata wallet Kwa mama mkwe au utamtoroka hata wife usimwambie kuwa umeenda😂😂😂
Au utasubiri kikao cha dharula waitambue hiyo wallet ni Yani ndo ufanye maamzi?
Karibu tupate maoni.
Niwaache kwanza Leo na hizi.