Ebu pitia hapa kwanza..

Ebu pitia hapa kwanza..

ndesangao

Senior Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
110
Reaction score
28
Kuna kijana mmoja ana diploma ya account,amepata upper second.anapenda sana kusomea sheria..Je anaweza kwenda kuchukua degree ya sheria pale ud au mzumbe kwa dip.yake ya akaunts..?
 
SEMA NI WEWE, sio unataka kupindisha pindisha mambo hapa...ila anaweza kwenda mzumbe kupiga BAF Or BBA lakini anaomba through T.C.U kama sijakosea.
 
Mkuu usidandie tren kwa mbele.jibu swal kama lilivyoulizwa...BAF na BBA vimetoka wapi hapa...
 
Back
Top Bottom