Ebu sema ringtone uliyoweka kwenye simu yako

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Tuambiane ringtone za simu yaani means mziki ambao simu yako inaitia maana ukitazama kwa makini hio song ndo itakuwa Ni song unayoipenda kuliko zote.mimi notification ikiingia au call Basi nimeweka fever ya wizkid.hii ndo wimbo ambao miaka Zaid ya miwili nimekua nikiusikia Mara nyingi kuliko kila dakika.
"Walicha, oh say, walicha, walicha, oh say wani ocha
Walicha, oh say, walicha, e be only you be my desire, oh
Walicha, oh say, walicha, walincha, oh say wani ocha
Walicha, oh say, walicha, only your water fit burn my fire, oh

Uhn uhn, yeah yeah
Starboy dey for you
Oh, oh, ohh
Starboy dey for you"
 
Pour me water MR EAZI baada ya kutoa Love nwantinti wa CKAY ft JOE BOY
 
Wake me up by wham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…