Ebu taja sifa za jiji la Dar Es Salaam

1.ina mademu wakali sana,sjawai ona
2.chips mayai ya Dar huwez fananisha na yeyote ile Tz nzima...(ina mbwembwe kama ukwaju,mayonize,tomato,kachumbar,urojo, shatashata
3.ukikaa dar unang'aa,ukikaa mkoa unakua umepauka sana
4.michongo yote iko hapa
5.kuna samak,pweza,mishkak ya 100 ,miogo yan hatar faya
6.weekend ni habar nyingne
7.hakuna mi barid barid ya ajab

Speakin like a real mwanaume wa daslam.
 
Nimekulia Dar nikatoka kidogo nikakaa mkoa kama miaka 15 hivi nikapiga chini nikaruda Dar! Waaana sikilizeni, Dar ndo kila kitu hapa TZ asikuongopee mtu! Chamuhimu ni kukaza jinsi ya kutoka kila siku!
 
Full uongo watu wa dar na janja janja za ajabu, hela watu wa dar hawana, ila kujitapa kila muda "oooh dar ndiyo kila kitu" hela unayo?
 
Oooh nimependa number 1 tu Asante sana ss tulio njee ya jiji wapo sehemu gan ao wazuri
 
Mwanaume na chips mayai!?...itakuwa una shepu kama demi!...umetembelea jiji gani zaidi ya dar nje ya nchi!?jiji chafu kama choo!
 
Naishi dar ila pachafu saana!...watu kiuhalisia hawana kitu,wana stress sana ndo sababu wengi ni walevi zile pombe za kuanza kunywa asubuhi!...mtu akifukuzwa kazi Leo kesho anaanza kukopa na baada ya wiki gari anauza!kiukweli wengi wanatamani kurudi mikoani lakini wanaogopa kurudi hawanna kitu watu waliowaacha washapiga hela!vijana was dar wanaishi kwa baba zao na wake zao chakula cha kengele!rafiki wa kujuana naye dar usije Ku mconsider kama rafiki saana subiri mambo yako yayumbe ndo utajua!sema kuna watu wachache ushuani dar wanaishi kama wako ulaya ila majority choka mbayaa sana!
 
Dar Gari linalindwa kuliko mtoto wa kike hadi sight mirrors zinawekewa ribit ili zisiibiwe
 
Dar es Salaam ni kujirusha kwenda mbele, weekend kama hii lazima usahau kufa.
 
Write your reply...tandale kunuka mavi mfano kwa tumbo,kuna mfuga paka a.k.a kwa bibi nyau nk
 
Nachopenda nikiwa DSM ni kuona wanawake/wasichana wengi wenye miguu ya bia kama Marianah maana huo ndio ugonjwa wangu hasa maeneo ya Mbezi louis stand, posta mwenge na Makumbusho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…