Ebu wadau tuicheki fursa hii

Sadru

Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
23
Reaction score
4
Ndugu wadau mimi niko mwanza wilaya ya nyamagana nina kama laki 8 nataka nianzishe miradi ya chipsi, sasa naomaba mnipe ushauri kwanza mimi nina wazo kua katika hizo laki nane nifungue vijiwe vinne ambapo kila kijiwe nimekipangia laki moja kukianzisha.

Naombeni ushauri wakuu.
 

mbona unajichanganya mara chipsi mara kila kijiwe uweke laki which is which?!
 
Wewe acha tamaa utapotea !huo mtaji ni kidogo malengo mengi hawa fanyi hivyo .
Anza hiyo biashara moja alafu angalia mwenendo wa biashara then ukiona inatoa faida ndipo ifikirie kuongeza biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…