Ebu wanajukwaa wataalamu wa kiswahili nipeni maana ya neno lagoon kwa kiswahili

Ebu wanajukwaa wataalamu wa kiswahili nipeni maana ya neno lagoon kwa kiswahili

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
wana jf ninaomba mnipe neno moja la kiswahili kutoka kwenye neno lagoon ambalo ni la kiingereza
 
Kiswahili bado hakija jitosheleza kimsamiati ina wezekana hilo neno halina tafsiri ya moja kwa moja kuja lugha ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom