Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Jul 20, 2012 #1 wana jf ninaomba mnipe neno moja la kiswahili kutoka kwenye neno lagoon ambalo ni la kiingereza
Trueboy Member Joined Jul 9, 2012 Posts 98 Reaction score 72 Jul 22, 2012 #2 Kiswahili bado hakija jitosheleza kimsamiati ina wezekana hilo neno halina tafsiri ya moja kwa moja kuja lugha ya kiswahili.
Kiswahili bado hakija jitosheleza kimsamiati ina wezekana hilo neno halina tafsiri ya moja kwa moja kuja lugha ya kiswahili.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Jul 26, 2012 #3 Lagoon ni mkondo wa bahari