Ebwana eheee Yamoto wawasha moto jana London !NOMA SANA

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Hawa madogo nimeamini kweli ni yamoto
Maana jana london kiliwaka. ..waandaaji
Pia walitisha sana. .kwanza show ilifanyika
Ukumbi 5 star na show ilikuwa Live bila chenga. .sijawai kwenda kwenda kwenye show nikaenjoy vile...madogo wanakamua nonstop
Live kucheza na kuimba vizuri mno..hawa vijana wana bright future sana
 
Band gani iliwapigia hao yamoto?? Live siyo muziki wa CD mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…