ECG YA NKINGA REFERAL NA YA MNHC

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
994
Nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kifua upande wa kushoto katikati karib na titi. Majibu ya Hospital ndogo ya rufaa kipimo kilireact normal, nikaambiwa sina shida. Huko Muhimbili kiliandika Abnormal, wakasema sina shida pia.

Bado naumwa sana kama kunajipu ndani. Au mwiba unachoma kwenye moyo kulia.

Jf doctors help!!!
 
Pole sana. Huko nkinga ndo kwenu au? Nilifikaga longtime kitambo enzi kuna Wazungu wengi sana wakihudumu pale
 
tatizo haya mambo huwa yanahitaji maelezo ya kutosha, na ndio maana kupitia mitandao kama hivi si rahisi kupata suhulisho la direct.
Fanya kupima vipimo vingine mfano Echo, pia check Lipid profile.

Pamoja na hayo jitahidi kukaa sehemu yenye hewa ya kutosha hasa unapolala, usifanye kazi nzito nzito sana.

Pole.
 
Hapa umemsaidia au umem interview?
Angesema ni kwao ningemshauri aende kwa mzee mmoja mganga wa jadi maana hata mie nilienda kutibiwa nikiwa hoi hata kutembea siwezi. Mama akaona isiwe tabu, akanipeleka kwa huyo mganga. Alinikalisha kigodani akaleta chungu kina madawa dawa na magome ya miti kinachemka, akanifunika na mablanketi nikawa napata huo mvuke hewa ya nje hakuna. Joto kali litanishika nikamwaga sana jasho. Akawa anafunua blanketi na kutia vipande vya mawe ya moto ndani ya kile chungu mvuke unajaa. Baada ya kama nusu saa hivi kunitoa nilikuwa nimepona.
 

Pele ushirikina wako huko, sicho alichouliza!
 
Asante mkuu, echo nilipina. Was normal
 
Eti mganaga kweli ni upumpavu wahedi,kwa hiyo ujinga wako ndiyo unataka mwenzako akaufanye?mtu anaekimbiliaga kwa waganga naona kichwa chake hakipo sawa yani ni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…