DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,591 Reaction score 1,719 Jul 24, 2014 #1 Nani mwenye ufahamu na hiki chuo.nimesikia mahala kua ni moja ya vyuo vinavyolipa vizuri staff wake japo hakina jina sana.na kinatoa kozi gani?
Nani mwenye ufahamu na hiki chuo.nimesikia mahala kua ni moja ya vyuo vinavyolipa vizuri staff wake japo hakina jina sana.na kinatoa kozi gani?
C Chizy Za kitaa Senior Member Joined Jan 7, 2014 Posts 167 Reaction score 13 Jul 24, 2014 #2 Ualimu chet na diploma
R Rasokauzu JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 518 Reaction score 302 Jul 24, 2014 #3 Coz niliyoiona pind nachagua hcho chuo ni clinical assistance ila kuna nyingine
O ODILI SAMALU JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 1,369 Reaction score 489 Jul 24, 2014 #4 DIUNATION said: Nani mwenye ufahamu na hiki chuo.nimesikia mahala kua ni moja ya vyuo vinavyolipa vizuri staff wake japo hakina jina sana.na kinatoa kozi gani? Click to expand... Ingia kwenye website yao mkuu
DIUNATION said: Nani mwenye ufahamu na hiki chuo.nimesikia mahala kua ni moja ya vyuo vinavyolipa vizuri staff wake japo hakina jina sana.na kinatoa kozi gani? Click to expand... Ingia kwenye website yao mkuu
K kaka miye Senior Member Joined Sep 25, 2011 Posts 172 Reaction score 42 Jul 25, 2014 #5 wanatoa degree ya education na baadhi ya diploma na vyeti
K KILLANEKELI JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 295 Reaction score 121 Jul 25, 2014 #6 Kunajamaa yangu niligraduate nae kapata kazi kama T.A kwenye icho chuo, nawanamlipa vizuri sana
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,591 Reaction score 1,719 Jul 25, 2014 Thread starter #7 KILLANEKELI said: Kunajamaa yangu niligraduate nae kapata kazi kama T.A kwenye icho chuo, nawanamlipa vizuri sana Click to expand... Asante mkuu
KILLANEKELI said: Kunajamaa yangu niligraduate nae kapata kazi kama T.A kwenye icho chuo, nawanamlipa vizuri sana Click to expand... Asante mkuu