Eco school ni nini huko mashuleni?

Eco school ni nini huko mashuleni?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Miaka ya karibuni nimesikia hii kitu inaitwa eco school naomba kufahamishwa kwa undani juu ya hiki kitu. @ walimu wote mliomo humu.
 
Miaka ya karibuni nimesikia hii kitu inaitwa eco school naomba kufahamishwa kwa undani juu ya hiki kitu. @ walimu wote mliomo humu.
Eco-Schools ni programu kubwa ya kimataifa ya shule endelevu, huanzia darasani na kupanuka hadi kwa jamii kwa kushirikisha kizazi kijacho katika kujifunza hasa kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom