O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,028 Reaction score 1,496 Jul 12, 2013 #1 nimesikia hawa jamaa watatoa hii huduma kwa wateja wao, mwenye experience na hii huduma hebu afunguke kidogo jinsi itakavo operate hapa nchini maana wateja wabongo uaminifu ni F, supplier wenyewe magumashi na bank zenyewe majanga.
nimesikia hawa jamaa watatoa hii huduma kwa wateja wao, mwenye experience na hii huduma hebu afunguke kidogo jinsi itakavo operate hapa nchini maana wateja wabongo uaminifu ni F, supplier wenyewe magumashi na bank zenyewe majanga.