malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,636
Nimekuwa nikiangaika huku na huku nikitafuta platform ya kuweza kuuza bidhaa(products). Hangaika hangaika yangu nimefika mpaka Shopify huko kwa mabeberu na nikagundua bidhaa ninayotaka kuuza ni local not International ijapokuwa gharama sio shida sana. Nimeona nikiingia huko ni kama kumpigia mbuzi gitaaa.
Je kwa hapa Tanzania hakuna websit kama hiyo ambayo ipo active.
Msaada jamani.
Je kwa hapa Tanzania hakuna websit kama hiyo ambayo ipo active.
Msaada jamani.