Umekwama wapi mkuu ninaweza kukusaidiaAse namimi nilikua ninashida nimejaribu kufungua store shopify imegomaa kabisaa naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichonishinda shopify ni bidhaa inayotaka kuuza ni local kwa nchi za Tanzania na labda east Afrika tu.Kwenye shopify umeshindwa nini? Tuanzie hapo @malisoka