economics na finance

hanley jr

Senior Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
119
Reaction score
27
ipi bora kati ya bachelor degree ya economics na finance kwa nchi yetu ya tanzania i mean wide opportuties katika soko la ajira,nawasilisha wakuu
 
unataka kufanya nini? i recommend economics and finance kwa sababu hizi kwanza economocs is wider than accounts secondly kwenye biz subjects hakuna consultancy isiyohusisha economiccs and finance mwisho accounts ipo kupanga yaliyofanywa na wachumi na financial analysts naomba kuwasilisha
 

Mbona unashauri usichokijua.Maelezo wako ni ya kujichanganya. Hata haujui "Scope" ya Finance.
 
nasikitika kuwa mleta hoja hajanielewa nimetoa scope ya economics kwa kuwa muulizaji alitaka uamuzi kati ya economics and finance na accounts and finance which means finance was common in each of the two choices i may giv the finance scope ila hapa sio mahala pake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…