djsisco
Senior Member
- Jan 8, 2014
- 104
- 15
Habari zenu wakuu,
Mimi natarajia kumaliza kidato cha sita mwezi ujao, napenda nichukue Degree ya Economics.
Kwa hiyo naombeni mnieleze Faida za mtu atakayehitimu katika fani hiyo, changamoto zake na vilevile wenye fani hiyo huwa wanashika/wanapewa nafasi gani katika mashirika ya umma au ya binafsi?