Economics

djsisco

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
104
Reaction score
15
Habari zenu wakuu,

Mimi natarajia kumaliza kidato cha sita mwezi ujao, napenda nichukue Degree ya Economics.

Kwa hiyo naombeni mnieleze Faida za mtu atakayehitimu katika fani hiyo, changamoto zake na vilevile wenye fani hiyo huwa wanashika/wanapewa nafasi gani katika mashirika ya umma au ya binafsi?
 
ndugu faulu kwanza huo mtihani wa kidato cha sita then utakuja tutakushaur ila ngoja waje wengine
 
ECONOMICS IS A WIDE SUBJECT,SO ATA KUPATA KAZI LAZIMA ZIWE NYINGI PIA,nami nategemea kwenda kusoma hyo comb. yenye economics, ECA,ndo nimesubir post,kila la kher kwenye mtihani wako
 
Unaweza ukaja kuwa kama Prof. Lipumba, mtaalamu wa mambo ya uchumi kuna kipindi alikuwa mshauri wa maswala ya uchumi wa Rais wa Marekani kama sikosei. Soma soma soma kijana soma!
 
ECONOMICS IS A WIDE SUBJECT,SO ATA KUPATA KAZI LAZIMA ZIWE NYINGI PIA,nami nategemea kwenda kusoma hyo comb. yenye economics, ECA,ndo nimesubir post,kila la kher kwenye mtihani wako

asante
 
Unaweza ukaja kuwa kama Prof. Lipumba, mtaalamu wa mambo ya uchumi kuna kipindi alikuwa mshauri wa maswala ya uchumi wa Rais wa Marekani kama sikosei. Soma soma soma kijana soma!

asante kwa ushauri
 
Jitahidi ufaulu vizuri hiyo ni kozi nzuri na wachumi wanahitajika sana hasa ktk maeneo ya Reseach, Policy making, kwenye private sector pia wanahitajika. Ni kozi ambayo ipo wide sana kwenye banking sector wapo, viwandani wapo almost everywhere. Na ni rahisi kufanya hata vitu vingine kama Monitoring and evaluation nk.
 
asante mkuu
 
Kwa kukushauri tu... usijilimit kwenye uchumi pekee... kuna kozi kama BAF hasa za mzumbe na ardhi nazo zitakufaa na zina future nzuri wenda kuliko huo uchumi!! Btw maliza kwanza form6 naiman utapata mwangaza zaidi!!! Kila la heri na masomo mema!!
 
okay, nitazingatia hilo
 
Better to ask the way than to go astray!!!!
Chamcng wewe kaza buti
"Study as if you are going to forget it, hold as if you are going to loose it"
Mtihani mwema na jitahid kadr ya uwezo wako update A ya uchumi, baada ya hapo rudi jukwaan tukupe Baraka uende ktk taaluma hiyo ya uchumi!!!!!
Best of luck!!!!!
 
Utakuwa kama Mwigulu Nchemba
 
Ambition yako nzur sana.. Just work hard on it, u will be where you want 2b. Utaenjoy xana kuwa economist maana ina opportunities nying za kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…